Friday 30th July 2021, 23:33 pm

logo

The United Republic of Tanzania

CONTRACTORS REGISTRATION BOARD

  • crblogo

MIKUTANO YA MASHAURIANO NA WADAU WA SEKTA YA UJENZI KWA MWAKA 2021

Bodi ya Usajili wa Makandarasi (CRB) inapenda kuwataarifu Makandarasi na wadau wote wa Sekta ya Ujenzi wakiwemo Waajiri, Wataalam Washauri (Wahandisi, Wabunifu Majengo na Wakadiriaji Majenzi) na wataalam mbalimbali katika sekta ya ujenzi kuwa imeandaa mikutano ya kikanda ya mashauriano na wadau wa sekta ya ujenzi katika mikoa ya, Mbeya (Tarehe 22 - 23 Aprili 2021, Ukumbi wa Tughimbe), Arusha (Tarehe 6 - 7 Mei 2021, Ukumbi wa Corridor Springs), Dar es Salaam (Tarehe 27 - 28 Mei 2021, Ukumbi wa Diamond Jubilee) na Mwanza (Tarehe 10 - 11 Juni 2021, Ukumbi wa Gold Crest). Katika vituo vyote, mikutano itaanza saa 2.00 asubuhi. Kaulimbiu ya mikutano ni: “Juhudi za Makusudi za Wadau Kuwezesha Ukuaji wa Makandarasi wa ndani”

Notice Board

Click "New" Icon Below To View Adverts

MIKUTANO YA MASHAURIANO NA WADAU WA SEKTA YA UJENZI KWA MWAKA 2021

Video Adverts

Photo Gallery

Subscribes For Newsletter